Wednesday, July 4, 2012

NJIA ZA KUZUIA MAGONJWA YA KUKU

Zipo njia kuu mbili zinazotumika ili kusaidia kuzuia maonjwa ya kuku yasiwapate kuku wako. Njia ya kwanza ni ya kuzingatia usafi katika banda na mazingira yanayozunguka banda, nay a pili ni kwa kuchanja kuku wako kila inapobidi.

1.  Usafi wa banda na mazingira yake

Usafi na ukingaji (chanjo) wa magonjwa ya kuku endelea kusoma HAPA namba 5

No comments: