JIPATIE ELIMU YA UFUGAJI NA UDHIBITI WA MAGONJWA YA MIFUGO YAKO

Je, una swali lolote linalohusu kilimo au mifugo? Tuma swali lako kwanye simu namba 0688099408, utajibiwa na wataalamu wetu mara moja

UFUGAJI WA SAMAKI3. KWA MSAADA ZAIDI KUHUSU UFUGAJI WA SAMAKI PIGA NAMBA ZIFUATAZO:
                                    (a) +255756936269 
                                    (b) +255718986328 (Bw. Musa Said Ngematwa)
                                (c)+255753637024 au barua pepe: aquakingo@gmail.com (Bw. Fredrick Francis)-Kingolwira, Morogoro    Maoni kwa mmiliki
    Maoni Facebook

40 Maoni :

ITIKA FUNGO said...

meku ingekuwa bora kama ungeweka na sehemu ya mchanganuo wa kipesa, uwekezaji na mapato. ili ya kwamba wajasiriamali wapate angalau uelewa wa gharama ya mradi

Anonymous said...

Tayari nimefika nilipokuwa naenda,kifupi mie ni mfugaji wa samaki aina ya sato nimeanza kwa mabwawa mawili madogo madogo

zedy said...

mkuu nina maswali mengi sana ya kuuliza nikiwa na lengo kuu moja lengo kabisa ni kujifunza zaidi mimi nina mabwawa yangu mawili ambayo niliyachimba kwa malengo ya kujipatia kitoweo lakini siku zinavyo kwenda ndivyo napata wazo la kufuga ki-biashara lakini kabl;a sijafanya hivyo nahitaji kujua mambo haya: 1 kwanini wafugaji wengi huwa wanaishia kukata tamaa njiani kabla hata hawajafikia ndoto zao? 2 serikali inasemaje kuhusu fursa ambazo wanaweza kunufaika nazo wafugaji?

Augustino Chengula said...

Ndugu yangu zedy, watu wengi wana shida kubwa moja ya kukata tamaa kabla hawajapata ushauri kwa mtu wa pili. Swala linalomkatisha tamaa lingeweza kutatuliwa endapo angeomba ushauri kwa wataalamu au wafugaji wengine. Hivyo mawazo yake anadhani yanatosha kufikia uamuzi huo wa kuachana na kile alichokifanya. Kuhusu serikali siwezi kuisemea sana lakini kiufupi soma hapa nyara ka ya mwisho inayohusu bajet ya wizara kwa mwaka 2013/2013 http://achengula.blogspot.com/p/sheria-na-nyaraka-mbalimbali-za-mifugo.html

dr.zedy said...

nimejirizisha itawawezesha Wavuvi Wadogo wadogo nafarijika kuona kwamba kumbe sasa kulingana na historia niliyo isoma hapa katka blog hii tanzania itapiga hatua katika sekta hii,

sasa ngoja niulize, je nini kinahitajika katika kutengeneza mchanganyiko wa chakula bora cha samaki? mimi binafsi nitaweza?

na ipi saizi nzuri ya samaki kufikia kuvunwa (marketing size)

Augustino Chengula said...

Soma vizuri ukurasa wa ufugaji wa samaki kuna kifungu nimeandika ulishaji wa chakula cha ziada utaona mifano miwili ya mchanganyiko wa chakula. Utaona kuwa vitu vinavyofanya mchanganyiko wa chakula kwa samaki vinapatikana kirahisi na unaweza kuutengeneza mwenyewe. Kuhusu uzito wa kuanza kuuza samaki ni kuanzia gramu 250 na itategema na aina ya samaki na matunzo yake. Sijaweka sehemu ya soko lakini mpango upo nitaiweka hapo baadaye.

dr.zedy said...

asante sana ngoja niendelee kupitia post nzima.

Fredrick Francis said...

Wadau, natanguliza pongezi kwa mtayarishaji wa elimu tuliyoisoma kwenye blog hii. Pili kama mkipata nafasi ya kutaka kuona mambo haya katika hali ya vitendo, nawakaribisha sana mfike katika kituo cha serekali kilichopo morogoro, kinaitwa "KINGOLWIRA AQUACULTURE DEVELOPMENT CENTRE" Au kama ilivyozoeleka ni kituo cha ufugaji samaki cha kingolwira. Muje mpate mengi zaidi.

Ahsanteni....!

Augustino Chengula said...

Ndugu yangu Fredrick Francis, nashukuru sana kwa ushauri wako na jinsi ulivyoona na kuvutiwa na elimu hii. Pia niwape pongezi kwa kutoa elimu ya ufugaji bure hapo kituoni,nikipata namba yako nitakutafuta ili tuwasiliane nije hapo kwenu. Lakini pia tunaweza kusaidiana kutoa elimu hii kwa kunitumia picha au mafundisho ili yawafikie wengi. Nami nitayachapisha hapa nikikuweka kama mwandishi au mleta picha. Kuna mtu alisoma pia hapa akataka ushauri zaidi nikamuelekeza hapo kituoni penu akaniambia alipewa msaada. Nikafurahi sana kuona mlimsaidia bila masharti yeyote. Mimi nipo hapa Morogoro pai SUA kitivo cha tiba ya mifugo.

Anonymous said...

Mkuu naomba kujua kiasi cha uzalishaji wa samaki kwa square meter za bwawa unaweza vuna kiasi gani?

Fredrick Francis said...

katika eneo la mita moja ya mraba unatakiwa kupandikiza samaki wawili.

Augustino Chengula said...

Asante sana Fredrick kwa majibu yako

KK said...

Nashukuru sana kwa article yako kwani imenifungua macho na kunipa mwanga. kwa kutumia lugha inayoeleweka

mimi nina swali moja la nyongeza, ktk aina za samaki wanaofugwa naona umezungumzia Perege na Kambale tu. Sato na Sangara vipi? Maana hawa nao wana soko sana hapa Dar (Supu ya asubuhi kwa wanywaji). Sato/Sangara ni wagumu sana kuwafuga na kuwakuza kwenye mabwawa? au hawalipi?

Natanguliza shukrani zangu
KK Chale

Augustino Chengula said...


KK chale, sato ndo perge

Nimewatumia samaki wa aina hizi mbili kwani ndo wanaofugwa na watu wengi nchini kwasababu ya urahisi wake na ustahilimivu katika mazingira ya aina tofauti tofauti.
Huu ni mwanzao kadri siku zinavyosonga tegemea kupata elimu ya samaki wengine pia.

Augustino Chengula said...

Sato ni perege

dr.zedy said...

fredrick mie niliwahi kufika hapo KINGOLWIRA AQUACULTURE DEVELOPMENT CENTRE japo sikuwakuta wahusika wakuu lakini mtu mmoja alinisaidia kadiri ya nilivyo hitaji.pia niliweza kuona mambwawa mengine mapya yaliyokuwa yanaandaliwa (duara)
pia niliambiwa kuwa mnashirikiana na nyegezi katika kukamilisha ujenzi huo wa mabwawa mduara.

Anonymous said...

Kaka pole kwa majukumu,mm naitwa mwl.Robert Israel,nk ktk initial stage za kufufua bwawa la samaki ktk shule yt ya ruvu nitahtaji sm msaada wako wakitaalamu

Richard Mlay said...

Naitwa Richard NaishiDSm Segeraa nataka kujua wauzaji wa vifaranga vya samaki kwa hapa dsm wapo maeneo gani? na namba zao za simu

Anonymous said...

nauliza gharamra za kuanzisha mradi wa samaki sato na sehemu wanapozalisha vifaranga vya samaki hao kwa hapa dar

Anonymous said...

Ndg, salam sana.
Nimefurahi sana kupata taarifa juu ya elimu mnayotoa. Naomba kupewa elimu ya ufugaji samaki
1. Namna ya kuchimba bwawa
2. Aina ya samaki Sato vifaranga vinapatokana wapi?
3. Jinsi ya kulisha samaki, Mfano elfu Tano (vifaranga)
4. Muda sahihi wa kubadilisha maji
5. Namna ya kuzuiya magonjwa
Asante sana

Augustino Chengula said...

1. Namna ya kuchimba bwawa nimeshaelezea sehemu hiyo ya ufugaji wa samaki

2. Sato- unaweza kuwapata Kingorwila, Morogoro shamba la kuzalisha vifaranga wa samaki la serikali.
3. Jinsi ya kulisha samaki=soma kwenye ukurasa wa ufugaji wa samaki
4. Muda wa kubadilisha maji soma ukurasa wa ufugaji wa samaki
5. Namna ya kuzuia magonjwa ya samaki bado sijaandika nikipata muda nitaandika juu ya hilo.

Endelea kutembelea blogu hii upate kujifunza mambo mapya

Wakuvwanga said...

Nimejifunza kitu

Wakuvwanga said...

Nimejifunza kitu

Augustino Chengula said...

Ni vema kama umejifunza kitu, usisahau kufanyia kazi @ Wakuvwanga

Anonymous said...

Mm nataka kuanziasha mradi wa kuku wa kisasa sina elimu ya kutosha no nipo dar na sijui vifaranga vinapatikana wapi no yango ni0713415806

Anonymous said...

Kweli we ni mwalimu unajua kufundisha

lilian buhatwa said...

asante sana kwa elimu juu ya ufugaji a samaki, imenivutia sana na nataka nianze biashara hii march. barikiwa sana

Augustino Chengula said...

Amina @Lilian

Anonymous said...

Hongera kwa kuwajali wajasiriamali wafugaji!

Naomba msaada wako, nataka kujielimisha juu ya ufugaji wa samaki, bahati mbaya hii article yako ya UFUGAJI WA SAMAKI inanigomea ku-download!

Naomba msaada wako!

Juma

Augustino Chengula said...

Inawezekana mtandao uko kidogo ndo maana linakataa kudaownload

tuswege mwasongwe said...

kaka habari za kazi? mimi nimechimba bwawa lakini huku kwetu kuna maji ya chumvi. je, yanafaa kwa kufuga sato?

Capucino said...

Habari yako kaka. Nipo kia mitaa flan ya karibu na Arusha. Naipenda sana hii biashara ya ufugaji wa samani lakini tatizo ni utaalam pia uelewa juu ya mazingira na kemikali zilizopo kwenye maji yanayopatikana hapa nilipo. Je inawezekana vipi kujua kama maji haya ni sawa katika ufugaji? je ni aina gan ya samaki wafaao kwa maeneo haya? ( Wazo langu nikufuga samaki aina ya tilapia) Je maeneo ya Arusha ni sehem gan naweza kupata elimu au shamba darasa kwa mifano zaidi? Shukran sana ndugu.

Anonymous said...

Habari ndg Fredrick Francis? Nina masswali maweili, mosi Ningependa kujua wapi mbegu za samaki aina ya sato zinapatikana kwa urahisi?pili ni kama bwawa la samaki huwa linasakafiwa chini?

chris comedian said...

naomba kujua kama bwawa linasakafiwa chini

Anonymous said...

Nashukuru ndugu chengula na francis kwa msaada wenu,naomba ikiwezekana tuwasiliane kwa namba hii 0787-720726,nawaomba mnitumie ujumbe wa tafadhali nipigie-nitawatafuta,naamin hamtanibeep.napenda tuwasiliane kwa karibu kwani kuna watu naowahudumia kiroho ambao wameanza
mradi huu,lakini wanakosa utaalam na wako kijijin.mungu awabariki.
MCh.MAGOMA

Anonymous said...

Wadau hamjambo, kwa wale wenye nia ya kufuga samaki tuwasiliane kwa no 0756936269 ntasawaidia kwani taaluma yangu ni uvuvi

Augustino Chengula said...

Nashukuru kwa kujitolea pia kuwasaidia wafugaji wa samaki na wadau wengine. Unakaribishwa kutoa mchango wako kwa maandishi pia. Unaweza kuzileta kwangu au nikakuunganishwa ili uweza kupost mwenyewe moja kwa moja ili wengi wanufaike.

musa said said...

habari ndugu:unaweza kupitia hii blog yangu na ku ilink ili wengine waweze kujifunza zaidi kupitia katika hiyo blog.ahsante

JOSHUA SIAO said...

Nipo arusha naitaji vifaranga wa sato

JOSHUA SIAO said...

Nipo arusha naitaji vifaranga wa sato

Kuwa mwanachama

Google+ Badge