Picha,Mazishi Ya Rapper Geez Mabovu Iringa Picha zote ziko Hapa.

 13,November 2014 yamefanyika mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania huko nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo.

Geez Mabovu alifariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alipokwenda wiki 2 zilizopita akitokea Dar es salaam. Geez alikuwa anaumwa kifua.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi nilizopata Kutoka kwa Lamar na matukiodaima.co.tz






Comments

Popular posts from this blog

Alcohol, Aging, and Curing Cancer